Tekst piosenki:
Zapis w j. suahili:
Imma the boy on the beat
Wasikuambie kwamba mimi eti sina lolote
Labda wakuambie sina ujanja juu yako
Wasikudanganye watakupa utakacho chochote
Wataitoa wapi furaha yako
Maana wabaya
hawatoki mbali
Jirani yako we ndio anapenda usile
Hawatokubali
kuona bendera ya penzi lako inapepea
Hawatokujali
kipindi ambacho mawazo yanafanya usile
watakutupia mbali
Si ulisema unataka gari na nimekubali kuenyeka mie
Tule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi nivumilie
Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali kitanzi
si tumetoka mbali
Mazoea
na ushakuwa maua
Moyo moyo
wangu mimi
Unauendesha
moyo moyo
Funga macho na masikio Ziba
moyo moyo
Usiwasikie
usiwaone pia
moyo moyo
Umegota kwako moyo wangu
moyo moyo
Au uh moyo moyo
Usiwaone pia
Kukosa majaribu moyo usije
Tia donda ukauchubua
maumivu yani adhibu
Kisa upendo furaha kuichua
Kwenye kosa niadhibu nami mwanadamu
Siku ntakosea
kukuacha
Sijaribu wapi niende nami kwako nishajifia
Ila usifanye kama fimbo
Ufanane na tindo
ukashindwa kujali maumivu yangu
Ouh moyo
moyoo
hu moyo
Moyo hey hu moyo oh moyo
wangu Mimi ah
moyo moyo
funga macho
moyo moyo
uh baby
moyo moyo
funga macho
THE AFRICAN PRINCES
Dodaj adnotację do tego tekstu »
Historia edycji tekstu
Komentarze (0):